Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"

Jeff akiwa katika uzinduzi wa Baho.jpg

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.


Kazi hiyo ilifanywa kwa ushirikiano kati ya mashirika ya Thinkerbell na Kwumva & Kwibuka, ambayo yali shirikiana kuandaa maonyesho ya ustahimilivu kupitia picha na video.

Bw Jeff Budodi ni mkaaji wa Sydney, katika mazungumzo na SBS Swahili alifunguka kuhusu aliyo shuhudia na manufaa yake kwa jamii pana.

Anwani ya maonesho hayo ni 107 Redfern Street, Redfern NSW 2016, na kwa taarifa zaidi kuhusu shirika la Kunva & Kwibuka bofya hapa: www.kumkwi.org

Share