David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"

Jamaa wa Ian wafika katika sehemu ambako mpendwa wao aliagia dunia.jpg

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.


David Kamande ni Mwenyekiti wa shirika la Men Cave Forum jimboni Victoria, alipo zungumza na SBS Swahili alifunguka kuhusu pigo ambalo jumuiya yake imepata kupitia taarifa hizo zaku sikitisha.

Kwa taarifa na maelezo zaidi kuhusu jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria, bonyeza hapa:

Share