#3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)

sbs learn english ep3

Source: Getty / Getty images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.


Moja ya njia bora yakujifunza Kiingereza niku sikiza nakufanya mazoezi kidogo kidogo kila siku.

Makala haya yaliyo rekodiwa yanaweza kusaidia kufanya hivyo. Kupitia
tuna kusaidia, kuelewa nakuunganishwa nchini Australia.

Bofya hapa usikize makala mengine


Share